Friday, 6 February 2015

JOMO KENYATA

Jomo Kenyatta /ˈm kɛnˈjɑːtə/ (c. 1889 – 22 August 1978) was the leader of Kenya from independence in 1963 to his death in 1978, serving first as Prime Minister (1963–64) and then as President (1964–78). He is considered the founding father of the Kenyan nation.[1]
Kenyatta was a well-educated intellectual who authored several books, and is remembered as a Pan-Africanist. He is also the father of Kenya's fourth and current President, Uhuru Kenyatta.
Nairobi's Jomo Kenyatta International Airport, Kenyatta International Conference Centre, Nairobi's main street and main streets in many Kenyan cities and towns, numerous schools, two universities (Kenyatta University and Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology), the country's main referral hospital, markets and housing estates are named after him. A statue in Nairobi city centre and monuments all over Kenya stand in his honour. Kenya observed a public holiday every 20 October in his honour until the 2010 constitution abolished Kenyatta Day and replaced it with Mashujaa (Heroes') day. Kenyatta's face adorns Kenyan currency notes and coins of all denominations (save the 40 shilling coin), but this is expected to change as Kenya's 2010 constitution bars the use of the portrait of any person on Kenya's currency.

Tuesday, 30 September 2014

Kenyatta ashurutishwa kwenda Hague.


 
  
kwa mujibu wa shirika la habari BBC;
Majaji wa mahakama ya jinai ya ICC wameamua kuwa rais wa Kenya hana budi ila kufika mahakamani binafasi Oktoba tarehe 8.
Majaji hao wamekatalia mbali ombi la mawakali wa rais Uhuru Kenyatta la kutaka aruhusiwe kuhudhuria kikao hicho kupitia kwa njia ya Video ama kikao hicho cha ana kwa ana kiahirishwe hadi siku nyingine kwani alikuwa amekabwa na kazi na majukumu kama rais wa Kenya.
Majaji hao wanasema kuwa Rais Uhuru Kenyatta hakutoa sababu madhubuti ya kukosa kuhudhuria kikao hicho maalum.
Majaji hao aidha wanasema kuwa Bwana Kenyatta lazima awe hapo ilikujibu maswali muhumi kuhusu ushirikiano wa serikali yake na kujadili maswala muhimu yatakayojadiliwa katika kikao hicho.
Kenyatta alikuwa ameiamboa mahakama kuwa ameratibiwa kuhudhuria sherehe za kuadhimisha uhuru wa Uganda .
Kauli hiyo inawadia wakati ambapo mwendesha mashataka wa mahakama hiyo Fatou Bensouda alikuwa amepinga ombi la rais Kenyatta la kuahirisha kikao hicho ama kuruhusiwa kushiriki kikao hicho kwa njia ya video.
Bi Bensouda alikuwa ameilalamikia mahakama hiyo akidai kukosa ushahidi wa kutosha baada ya serikali ya Bw Kenyatta kumnyima stakabadhi alizotaka ilikuimarisha kesi dhidi ya kiongozi huyo wa Kenya.
Bw Kenyatta kwa upande wake naye alikuwa amewasilisha ombi mahakamani ya kutaka kesi dhidi yake itupiliwe mbali baada ya bi Bensouda kukiri kuwa hakuwa na ushahidi wa kutosha dhidi yake.